JAMALIFE HELPERS GLOBAL.

Jamalife helpers global ni shirika lisilo la serkali la kimataifa linalo wezesha wanachama wake mfumo wa kujikwamua kiuchumi duniani kwa njia ya Mtandao.

Makao makuu yake yapo Belgium na mwanzilishi wake anaitwa Mr. KURT MAES.

Jamalife Helpers Global imeingia Africa kwa Mara ya kwanza mwanzoni mwa 2017 nchini Nigeria na kuteuwa nchi hiyo kuwa Makao makuu ya jamalife Africa, na kuanza kusambaa katika nchi zingine za Africa Kama: Ghana,every coast,Togo,South Africa,Botswana, Zimbabwe, Kenya,Uganda, zambia, Namibia, Guinea, na hapa Tanzania MTU wa kwanza amepokea september 2017 .na inaemdelea kusambaa kwa kasi ya ajubu duniani na Africa kwa ujumla na kuwafikia wengi kupitia Mfumo wake wa ONLINE MATRIX SPONSORING.

Mwanzilishi huyu na Board yake wana uzoefu wa muda mrefu Sana katika mambo ya Maendeleo ya Jamii, na kuazimia kuona jinsi gani wanaweza kukuza uchumi wa mtu Mmoja Mmoja kwenda juu zaidi na kuondokana na umaskini. Hivyo wakaanzisha mfumo huu wa kifurushi kidogo kwa kushirikishana na kusaidiana na watu wengine duniani kwa lengo la kutatua tatizo la uchumi katika jamii , ili kila Mmoja afikie malengo yenye mafanikio makubwa. Maana "Umoja ni nguvu "
Lengo ni kugeuza maisha kwa ngazi ya kaya,familia, jamii, taifa na kimataifa kwa ujumla.

Una jisajili kwa kulipia Mfumo kiwango kidogo cha 16,000 sh tu. Sasa washirikishe watu wa wili nao wapate huu mfumo wa jamalife, jamalife itakulipa kwasababu umefanya Kazi ya kumletea Wateja wengine kuchukuwa mfumo. na hao wengine wataendelea kushirikishana na kulipia mfumo kwa kiwango hicho na wao watalipwa na wewe utaendelea kulipwa katika ngazi husika kadri watakavyo ongezeka. maana chanzo cha taarifa ni wewe.

sasa matokeo yake huleta mafanikio makubwa Kama uonavyo hapo 

MFUMO WA MALIPO WA JAMALIFEJAMALIFE


Mfumo wa malipo Una kwenda kwa ngazi au Stage na Jumla zipo ngazi au Stages 8.
ya 1 hadi ya 8.
Kila ngazi Ina malipo yake na hii ni kutokana na idadi ya watu wanavyo ongezeka kwenye team yako .
Sasa Mfumo unasema washirikishe fursa hii watu wawili wapate mfumo huu, na hao kila Mmoja awashirikishe wawili wa kwake na hao kila Mmoja afanye hivyo. Hilo tu. Kama ifwatavyo:
[emoji116]�[emoji116]�[emoji116]�[emoji116]�.[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
INFINITY kwenye hii stage unachotakiwa kufanya ni kuwasaidia watu ulio waacha stage ya nane na wenyewe wafike infinity na kila atakaye fika infinity utalipwa $20,000 ambayo ni zaidi ya 40 milion ya kitanzania
Pia zingatia tunapo zungumzia Una hitaji watu 14 ili utoke stage moja kwenda nyingine ,
Sio kwamba unatakiwa kutafuta watu wapya kila stage hapana ni wale ulioanza nao huko stage ya kwanza mnapanda kwa pamoja kwa kusaidiana hivyo usianze kufikiria sasa hao watu 14 kila stage Nita watoa wapi hapana .
Una hitaji watu wasio pungua wa wili tu.then saidiana na hao wawili kila Mmoja apate wa kwake wawili na kuendelea ndo Kazi pekee unayotakiwa kufanya Jamalife.
Pia zingatia hao watu 14 lazima wake kwa mpangilio ufwatao:
3 kushoto ,3 kulia kwa stage ya 1 .
7 kushoto ,7 kulia . kuanzia stage ya 2 hadi ya 8.
Anapo ingia MTU malipo unaona papohapo. Ukitaka kutoa kuna njia juu mbili za ku toa au withdraw:

1. Kupitia Bank account,

Baada ya usajili na kukabidhiwa account yako na Wakala wetu wa usajili unaweza ingia na ukajaza bank details zako ipo se hemu maluum ndani ya back office yako kwenye profile yako utaona , jaza details zinazo takiwa hapo hakikisha inayo Swift code ya bank yako pia.
Minimum withdraw kwa bank ni 40$ Ina chukuwa siku 5 mpunga tayari kwenye account.

Njia ya pili.

2. Kupitia mawakala wa jamalife wapo, muda wote unaweza Ku withdraw. Minimum ni 1$ instantly. Papo kwa papo tena kwa exchange rate ya siku hiyo. unapata tsh zako mambo yanaenda. Na Wakala Ata kuuliza pesa akuwekee kwenye mtandao gani wa simu.
Na ndani ya dakika isiozidi tano utapata mpunga wako. 

Comments

Popular Posts